Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Cheki hyo avatar ilivyo nyeusi jaijapigwa ndinda

Mzee wa vibinda kwenye rami
 
mwanaume mweusi ni no nyinginge my super man mi mweus kila saa nahis kuibiwa maana
maana nini tena mrembo sema tu ,alafu unaniumiza kwa maneno yakoo mimi mweupe
 
Wanaume weusi wanamvuto sana pia watamu
I think kwa kigezo cha sexy body sawa coz most of black gentleman's wako kidogo na body lakuvutia than white,pia wana swag za kiume sana tofauti na ma white wengi wanamiili ya kikekike sana na swag za kidemdem(i.e kuringa sana) .
So unakuta mnapenda boga (body na swag) basi inakua lazima mpende na ua lake (weusi wake )

hayo ni mawazo yangu mrembo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…