Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

Token I tu wanangu. Na safari hii hamna cha kupoteza maana kama kuuawa tayari mlishauawa!
 
Nashauri tutumie nji nyingine kudai haki au maboresho lakini maandano yataleta maafa makubwa sana maana humo humo kuna vibaka watatumia hiyo nafasi kuharibu maana ya maandamano, Ya Juzi mmejionea japo kwenye idadi ya marehemu sijui kama imekaribia hiyo uliyoitaja hapo juu
 
Umenifadhaisha mkuu,nimekumbuka huyo mama mwenye sweta la purple alipigwa risasi ya mgongoni na kufa papo hapo🥲🥲🥲🥲
Kuna mama mwingine kaenda kununua nyanya wamempiga risasi ya shingo kafa papo hapo just imagine huu unyama 😖
 
Njia kama ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…