Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Mambo switihati nimekumisi sio kipolepole jana usiku sijatia timu hapa ilikuwa siku ya pool/laga hope yo ok mi mzima.Usije nianzishia thread eti nakufataki lol!

Sijui hii inaweza kuwa ni aina mojawapo ya utongozaji?
 
ah ah ah nisipotongozwa ntajijuaje kama ni mzuri na bado nalipa?na Mungu alitulia ktk kunifinyanga?kwanza kwa kunitongoza kwako napata experience zaidi na ktk CV yangu mambo yanaongezeka,karibu sana mpz tutongozane!:smile-big:

Well well pearl....mimi nakupendaga sana....umenivutia kila idara.....(ngoja nitafute desa langu, BRB)
 
Kiongozi,

Unapotea sana bana - Trust ME! Nilishakuwa na wasiwasi kama Trustme alikuwa anakuogelea wewe kuwa umemtongoza - Trust ME!

nipo kiongozi wangu,
lakini kama ulivyotangulia kusema,
labda tupate maana sahihi ya neno KUTONGOZA!
yawezekana yale maneno nilokuwa nampa akayatafakari kiutongozaji
 
si unajua hata mi limoyo langu limekudondokea?ngoja na mm nikachukue desa langu la kujimbu huo mtongozo wako swty!
Well well pearl....mimi nakupendaga sana....umenivutia kila idara.....(ngoja nitafute desa langu, BRB)
 
hahahahaaa baba enock huyu mwenze2 anakimbia bahati wakati mi mwenzie kuna m2 mpaka nimemwambia gest nitalipa mwenyewe kanambia tangulia cjamwona toka saa 5 asbh kwi kwi kwi mkosi gani huu

Tatizo una busara sana ndio maana wanakuogopa na kukukimbia...........
 
Baba Enock haya mambo yapo wapo wanaopata wachumba kanisani
Hilo swali lingine inawezekana wewe hujawahi?
 
si unajua hata mi limoyo langu limekudondokea?ngoja na mm nikachukue desa langu la kujimbu huo mtongozo wako swty!

Yaani hapa hata netweki ya kichwa inaanza kupotea...nadhan imehamia pande za huko kwako......ngoja nikapate nyagi na jani...brb
 
Ha ha ha mbona wewe siku ile hukunitongoza au sivutiii nini bacha

hukuniona nilipokuwa nakutongoza kwa macho?
nilikuwa nayapekecha kama ya Rose1980,
Baba Enock sikutaka atuone!!!!!!
 
Tatizo una busara sana ndio maana wanakuogopa na kukukimbia...........

sasa itakuaje paka nitakimbiwa mpaka lini na uzee waja kwa kasi hata kunidanganyishia tu hawataki Mwe
 
ikihamia kwangu hakuna mby tena bora hiyo ya kichwa ikikata ntairekebisha kuliko ile ya kichwa cha chini ikikata mpaka nianze kuimba kasimama peke yake kamuona mchumba wake ni leo?
Yaani hapa hata netweki ya kichwa inaanza kupotea...nadhan imehamia pande za huko kwako......ngoja nikapate nyagi na jani...brb
 
sasa itakuaje paka nitakimbiwa mpaka lini na uzee waja kwa kasi hata kunidanganyishia tu hawataki Mwe

Nikishampata pearl ntakuja kwako....rest assured!
 
ikihamia kwangu hakuna mby tena bora hiyo ya kichwa ikikata ntairekebisha kuliko ile ya kichwa cha chini ikikata mpaka nianze kuimba kasimama peke yake kamuona mchumba wake ni leo?

Ewaaa....ukiona unakubali utakua unachuma majani hapa...

Sijui nikupege lizawadi gani ili uamini nakupendaga....

...
 
sasa itakuaje paka nitakimbiwa mpaka lini na uzee waja kwa kasi hata kunidanganyishia tu hawataki Mwe

Kwa kuanzia punguza kuwapa watu ushauri,na kwa kuendelea ps contact Paka Mweusi,baada ya hapo utashangaa jinsi watakavyokuja mpaka wengine utawafukuza............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…