Nawe mshikaji kutangatanga utakosa vyote hahaha!What i see is what i get
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe mshikaji kutangatanga utakosa vyote hahaha!What i see is what i get
lol afasali moyo wangu umetua, lakini mpaka tuonane maana inawezekana ukiniona ukanikana lol hz pm wala siziamini
Jamani kina dada mbona hamtaji wanaowatongoza ili tufanye evaluation ya hii kitu.:horn:
1. Asprin😛lane:
2. Kimey
3.Teamo
4. ST.RR kishakili mwenyewe
5.Acid
6. Bacha
7.Uporoto
8.PakaMweusi
9.Bujibuji:A S 39:
10.Mr Prezident
11.. Baba Enock :roll:
12. The Finest -mkwe
nakija :A S thumbs_down:
FL1 bana......
Nilidhani hutaki kabisa kumbe rukusa kusearch!!!
Una2zibia RIZIKI Pearl!!!
Nashukuru shemeji kwa sapoti yako,nina chupa yako ya wine hapa.
Si ndio St.RR kwanini unanitongoza?
Dah kazi wanayo leo zamu yao walituonea sana
Mhandisi unajua The Pope anatusubiri JJ?
What i see is what i get
Hivi Maty, katika kutongozana,
inabidi jibaba uwe tayari na vichupa vya nyagi mkononi au?
Sababu nyingine ya kutongozwa uwiii nitakuwepo
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Mie pia nashangaa sijui nina kasoro gani lol?
Hivi kuna watu wasipotongozwa week wanaenda kwa karumanzira au shekhe Yahaya kusoma nyota.
ah ah ah wala huzibiwi kwani ndoo ya maji hii mpaka ijae?leta tu cv tuchambue
hahahaaaaaaaa body language tu yatosha
habari yake kutongozwa bana ngoja na mimi nijiunge labda nitatongozwa safari hii
Sasa mbona mi sijawahi kuahidiwa Rav4,au wanaangalia na sura??:crying::crying:
kama yeye and Range ya atataka tena kumpa rav4,huwezi jua mambo ya bi Trustme Mwita???? 😛lane:😛lane:
Kama ni rugby wala usihofu mi nilikuwa scrumhalf wa Mwamba RFC-Nairobi nilipokuwa nasoma huko miaka ya nyuma napenda Allblacks wa New zealand.duuhh mie sura chachu napenda rugby kila mwanume ananikimbia lol
hahahahah :crying:
wewe mtongozwaji TRUSTME,
mbona sikuoni hapa na mikao yako ya kutongozwa?