Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Sasa huko kwenye ladies rugby lazima utakuwa Newzealand, Australia au visiwa vile vinavokaribia kama Fiji,Tonga etc.

Sinto kwambia nchi lakini umesha anza kunusa nusa lol..

ka ukipata muda nenda katoe maoni kwenye ile thread kwenye michezo
"Rugby world cup 2011) lol
 
Sasa huko kwenye ladies rugby lazima utakuwa Newzealand, Australia au visiwa vile vinavokaribia kama Fiji,Tonga etc.

duuuhh mkuu
achana na rugby ..
endelea na kutongoza lol
hahahah
ngoja ukose usini lalamikie hahahah lol
 
"The First Eleven"

[/QUOTE]
quote_icon.png
Originally Posted by FirstLady1

Jamani kina dada mbona hamtaji wanaowatongoza ili tufanye evaluation ya hii kitu.:horn:
1. Asprin😛lane:
2. Kimey
3.Teamo
4. ST.RR kishakili mwenyewe
5.Acid
6. Bacha
7.Uporoto
8.PakaMweusi
9.Bujibuji
A%20S%2039.gif

10.Mr Prezident
11.. Baba Enock :roll:
12. The Finest -mkwe
nakija
A%20S%20thumbs_down.gif
[/QUOTE]


Ningeshangaa kama ningekuwemo
 
Wanatongozana nje ya kanisa FL1 na siyo kanisani! Sasa mtu umeshika misale ya waumini au tenzi za rohoni utatongoza vipi?

Kwa PM sijawahi! Hivi inawezekana ukamtogoza mtu ambaye hujawahi kumuona? Nauliza tu!!!

Au ndiyo unaanza kwa kujitambulisha:

"...Hi FL1, Mimi naitwa BE, nina urefu wa mita moja, nina nyumba kumi mikocheni, na magari mia moja, naishi Barbados.. Kila wikiendi huwa naenda mapumziko mafupi Newyork na Gulf Stream yangu.. hujambo? Naomba tukutane New Africa Hotel siku ya Ijumaa au Mikadi kule kigamboni, nimevutiwa sana na avatar yako mpaka nakosa usingizi usiku... Kodi hammer hapo CMC kwa ajili ya kutumia wikiendi, bill nita-settle, au ukipenda nitakutumia VISA card details kwa ajili ya shopping ndogo ndogo... Mwaaaaah See Ya - I love you honey..."

Halafu unabonyeza "Submit this message" button

Kha!

Kama kucheka umenichekesha walahi mwanaume anaeanza namna hiyo hafai katika jamii kwanza ana hali ya ushamba fulani..
HIVI UNADHANI WANASHINDWA KUANZA ?
MENGINEYO YANFATIA LAKINI UNAJUA BANA
 
duuuhh mkuu
achana na rugby ..
endelea na kutongoza lol
hahahah
ngoja ukose usini lalamikie hahahah lol
Sitongozi tena hapo kwako nimefika Cheusi kanitelekeza mwezi sina habari zake nawe naona TF hachezi mbali na P..
 
Back
Top Bottom