Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Trustme

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,169
Reaction score
349
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
 
Kama hutaki si umwambie tu kuliko kumchana live mwenzio wewe.
Atajisikia vibaya bana
 
Mimi ni Men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya JF watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa Wana JF? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye JF bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.
 
I real dnt think kama unashikiwa fimbo kukubali,mpak auko JF naamini ww ni mtu mzima and unajua ufanyacho!najua kwa unaempenda huwezi kukataa ukitongozwa,lkn kwa usiempenda lazima utakasirika,use a polite language when u call them,itakuongezea heshima zaidi wengine hapa ni kaka zetu/waume zetu/washauri wetu wa karibu etc,naomba usinielewe kama nakupinga lkn kwa anaekutongoza and humtaki mwambie tu ukweli na hasa kama ni mume wa mtu jiepushe nae.:smile-big:
 
Mimi ni Men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya JF watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa Wana JF? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye JF bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.

Ha ha ha umenichekesha sana nguvu ya lager hizo mkuu. Drink responsibly haiapply
 
ukimwambia haelewi sijui ndiyo wanaita the power of alcohol!

Lakini si anakwambi mko JJ bado au mnakuwa mshaende pale kwenye nyumba za kulala we nyeji??
Kama sio mpotezee tu kwani lazima bwana
 
Lakini si anakwambi mko JJ bado au mnakuwa mshaende pale kwenye nyumba za kulala we nyeji??
Kama sio mpotezee tu kwani lazima bwana

Dena utanielewesha maana hapa nimekuwa slow learner ghafla!!!!!!!!!!!!!
 
He he he he! Msg kwa mibaba na mibabu delivered.
Anayetaka kuniona aend pm kuna picha yangu huko.
 
dah JF kuna mambo ivo vikao mnafanyiaga wapi msamehe mwenzio labda anatafuta mke
 
doooooooohh!
mwwanamke kutongozwa ni kawaida
mwanaume yeyote ndan au nje ya jf kutongoza ni kawaida
kwa iyo basi ni BUSARA NA HEKIMA SANA KM UKIMWAMBIA nje ya apa atakuelewa ..as long as hakushikii b-52 wakat anakutongoza kuna shda gan ukikataa?ukimpotezea ?au atakutumia majambaz cz umemkataa?

umature wa mwanamke pia unapimwa na kukomazwa kwa mitego ya wanaume km ivyo....
. kutongozwa kwa style na vshawsh mbalimbali vnakufanya uwachukulie poa tu na kuwadharau pale unapoona wanazidi kukusumbua..

tanzania haijawa congo au somalia ambapo mwanaume akimkuta mwanamke basi ni mweleka na kifuatacho ni PUSHAPU..Tanzania tunatongozwa bado so ni BORA UMWAMBIE LIVE lakin kuileta apa km post mmh ..sjui lakin bt ahh i issue ndg sana ni ya kuimaliza thru mails o sms tu ..
umetongozwa na wangap mama? wote unapo pakuwasemelea au kwa mtu wa jf ndo wamtungia post?
any ways pole mwaya kwa USUMBUFU...i do agree swaga za matongozo znaboa bt stl we hav room to say NO o yes per our interest bt nt to publisize like ths

pole mama.
mwambie akukome
akutue
dosh dosh dodido..:smile-big:
mi😛lane: kwa FRANCIS CHEKA Kuchukua kozi ya wiki 2 ..mtu akinitongoza ni mangumi tu...
once again pole sweetie
 
LoL Kumbe na hii ya kutongozana huwa inatokea ?? sijawahi ku exprience .uchunguzi zaidi unahitajika
 
mimi ni men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya jf watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa wana jf? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye jf bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.
tatizo lenu mambo ya bar na yenyewe mnataka kuleta JF acheni kukompliketi mambo kama mwenzako anakunywa wewe haunywi isikupe shida simama then chapa lapa, ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa wewe ni mtu mzima ndio hizi thread nilizokuwa nasema awali ohoo sijui fulani analewa sana mara fulani kanitongoza so what? Tufanyeje nyie ni watu wazima na akili zenu so think tafakari kisha chukua hatua.
 
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?

oh oh !
 
tatizo lenu mambo ya bar na yenyewe mnataka kuleta acheni kukompliketi mambo kama mwenzako anakunywa wewe haunywi isikupe shida simama then chapa lapa, ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa wewe ni mtu mzima ndio hizi thread nilizokuwa nasema awali ohoo sijui fulani analewa sana mara fulani kanitongoza so what? Tufanyeje nyie ni watu wazima na akili zenu so think tafakari kisha chukua hatua.

nidai pipi.
ni swala la kumalizana uko pemben...wangapi wanatutongoza njkian?
au kutongozwa na mwana jf ni crime?
dahh sjui bt i thk izi issue nyngne kdg hazijakaa poa..
kutongozwa ni kawaida saaaaaaaaaaana ni swala la yes o noo bt si swala la kuundia tume.
 
doooooooohh!
mwwanamke kutongozwa ni kawaida
mwanaume yeyote ndan au nje ya jf kutongoza ni kawaida
kwa iyo basi ni BUSARA NA HEKIMA SANA KM UKIMWAMBIA nje ya apa atakuelewa ..as long as hakushikii b-52 wakat anakutongoza kuna shda gan ukikataa?ukimpotezea ?au atakutumia majambaz cz umemkataa?

umature wa mwanamke pia unapimwa na kukomazwa kwa mitego ya wanaume km ivyo....
. kutongozwa kwa style na vshawsh mbalimbali vnakufanya uwachukulie poa tu na kuwadharau pale unapoona wanazidi kukusumbua..

tanzania haijawa congo au somalia ambapo mwanaume akimkuta mwanamke basi ni mweleka na kifuatacho ni PUSHAPU..Tanzania tunatongozwa bado so ni BORA UMWAMBIE LIVE lakin kuileta apa km post mmh ..sjui lakin bt ahh i issue ndg sana ni ya kuimaliza thru mails o sms tu ..
umetongozwa na wangap mama? wote unapo pakuwasemelea au kwa mtu wa jf ndo wamtungia post?
any ways pole mwaya kwa USUMBUFU...i do agree swaga za matongozo znaboa bt stl we hav room to say NO o yes per our interest bt nt to publisize like ths

pole mama.
mwambie akukome
akutue
dosh dosh dodido..:smile-big:
mi😛lane: kwa FRANCIS CHEKA Kuchukua kozi ya wiki 2 ..mtu akinitongoza ni mangumi tu...
once again pole sweetie

Lazima mumzodoe mwanamke mwenzenu kwa sababu eti nasikiaga wanawake wasipotongozwa wanajisikiaga vibaya na nafikiri ndo maana nyie akina dada mwamshangaa mwenzenu aliyetoa habari hizi. Yawezekana mwenzenu huyu hapendi hayo mambo jamani
 
Back
Top Bottom