Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni Men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya JF watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa Wana JF? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye JF bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.
ukimwambia haelewi sijui ndiyo wanaita the power of alcohol!
Lakini si anakwambi mko JJ bado au mnakuwa mshaende pale kwenye nyumba za kulala we nyeji??
Kama sio mpotezee tu kwani lazima bwana
Hahaha!Hivi humu fataki anafahamikaje??
tatizo lenu mambo ya bar na yenyewe mnataka kuleta JF acheni kukompliketi mambo kama mwenzako anakunywa wewe haunywi isikupe shida simama then chapa lapa, ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa wewe ni mtu mzima ndio hizi thread nilizokuwa nasema awali ohoo sijui fulani analewa sana mara fulani kanitongoza so what? Tufanyeje nyie ni watu wazima na akili zenu so think tafakari kisha chukua hatua.mimi ni men na mimi hiyo nilisha note ikanikera sana kwani great thinker anatakiwa awe na staha na busara. Pia unakuta kwenye vikao vya jf watu wanabugia kilevi mpaka wanajikuta wanaongea na kuleta matani ya upuuzi. Mawazo tunayotoa na jinsi tunavyo behave haviendani kabisa. Sio wote bali ni baadhi. Hivi tatizo ni nini haswa wana jf? Inabidi tudhamirie kuwa chumvi au chachu kwa maendeleo ya nchi yetu siyo tu kwa kuandika kwenye jf bali katika maneno na matendo otherwise tutakuwa tunaigiza tu na hatutakuwa na tofauti yoyote na watawala tunaowapa changamoto.
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Mi nlidhani hao ni mabrazamen!wanakonyeza konyeza sana.
tatizo lenu mambo ya bar na yenyewe mnataka kuleta acheni kukompliketi mambo kama mwenzako anakunywa wewe haunywi isikupe shida simama then chapa lapa, ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa wewe ni mtu mzima ndio hizi thread nilizokuwa nasema awali ohoo sijui fulani analewa sana mara fulani kanitongoza so what? Tufanyeje nyie ni watu wazima na akili zenu so think tafakari kisha chukua hatua.
doooooooohh!
mwwanamke kutongozwa ni kawaida
mwanaume yeyote ndan au nje ya jf kutongoza ni kawaida
kwa iyo basi ni BUSARA NA HEKIMA SANA KM UKIMWAMBIA nje ya apa atakuelewa ..as long as hakushikii b-52 wakat anakutongoza kuna shda gan ukikataa?ukimpotezea ?au atakutumia majambaz cz umemkataa?
umature wa mwanamke pia unapimwa na kukomazwa kwa mitego ya wanaume km ivyo....
. kutongozwa kwa style na vshawsh mbalimbali vnakufanya uwachukulie poa tu na kuwadharau pale unapoona wanazidi kukusumbua..
tanzania haijawa congo au somalia ambapo mwanaume akimkuta mwanamke basi ni mweleka na kifuatacho ni PUSHAPU..Tanzania tunatongozwa bado so ni BORA UMWAMBIE LIVE lakin kuileta apa km post mmh ..sjui lakin bt ahh i issue ndg sana ni ya kuimaliza thru mails o sms tu ..
umetongozwa na wangap mama? wote unapo pakuwasemelea au kwa mtu wa jf ndo wamtungia post?
any ways pole mwaya kwa USUMBUFU...i do agree swaga za matongozo znaboa bt stl we hav room to say NO o yes per our interest bt nt to publisize like ths
pole mama.
mwambie akukome
akutue
dosh dosh dodido..:smile-big:
mi😛lane: kwa FRANCIS CHEKA Kuchukua kozi ya wiki 2 ..mtu akinitongoza ni mangumi tu...
once again pole sweetie