pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo pamoja na kwamba tuko bwah binafsi kama nimemuelewa hivi, anasema ardhi tanzania bara inaukubwa wa kilometa za mraba laki Tisa na elfu arobaini na saba..
Na sehemu kubwa haijatumika, ila watu wanang'ang'ania haki ya kumiliki ardhi kule zanzibar ambayo ni just kilometa za mraba ambazo ni sawa na ka mkoa kamoja tu cha huku bara...mi Nadhani ingekuwa bora tungeomba sheria ya muingiliano wa ndoa yaani intermarriage, japo kuwa kwa sasa haina restrictions but ni ngumu kuoa mzanzibar ambao wengi huwa wanavutia, wanajua kupika, wanaswali...kwa mfano mimi nikimpata mmoja wallah ntaacha pombe.
Muhudumu lete ya mwisho kesho kazini...ardhi nendeni mkanunue mashamba mkuranga, vikindu...busara za mlevi