Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna gani !! Kiongozi aliyetayari kulinda cheo chake kulikoni kulinda uhai wa raia wake si tu kwamba hatufai Bali ni kipofu ! Kiongozi anayelinda chama chake kuliko kuwalinda binadamu hatufai ! ,nikweli tunataka maendeleo lakini msingi wa maendeleo yenyewe iwe ni ulinzi wa amani na usalama kwa Kila raia