Mfilipi WaTanzania
New Member
- Jun 20, 2024
- 3
- 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani we acha tu,. Mahindi saizi wanasema bei ya serikali ni Tsh 700,. Lakini hata haijulikani hiyo ni bei ya wapi na ni soko gani,. Maana kote wanataka kununua kwa Tsh 370–450 @kg,. What the hellLeo tumekumbukwa sasa. Hamtutendei haki kabisa.
MIezi kadhaa iliyopita gunia la kitunguu liliuzwa laki 3 na bado demand ilikua kubwa. Leo mpaka naandika hapa gunia linauzwa 30k-40k na bado wateja hakuna. Mtakuja kusema mambo ya Demand na Supply.
Inaogopesha sana mkuu,. Bei za pembejeo na bei ya zao haziwiani hata kidogo hadi mtu unajiuliza inamaana hii nchi wakulima ndio hatuna thamani kiasi hiko,. Kama serikali imeshindwa kununua kwa bei itakayomnufaisha mkulima ni heri wakafungua tu mipaka kama miaka iliyopita watu tukauze kenyaHii nchi haijawahi kuwa na sera nzuri ya kumlinda na kumnufaisha mkulima.
Ref: Kilimo kwanza, Pembejeo nk
Lakini pamoja na yote hayo bado watu hawaachi na wanaendelea kulima. Mungu atusimamie aseehYaani we acha tu,. Mahindi saizi wanasema bei ya serikali ni Tsh 700,. Lakini hata haijulikani hiyo ni bei ya wapi na ni soko gani,. Maana kote wanataka kununua kwa Tsh 370–450 @kg,. What the hell
Hatuwezi kuacha mkuu,. It’s like tunafanya betting tu wanasema jembe halimtupi mtu🥲Lakini pamoja na yote hayo bado watu hawaachi na wanaendelea kulima. Mungu atusimamie aseeh