Hatuwatendei haki wakulima hata kidogo

Wewe unaona nane nane inaadhimishwa kisawa sawa?


  • Total voters
    5
Leo tumekumbukwa sasa. Hamtutendei haki kabisa.

MIezi kadhaa iliyopita gunia la kitunguu liliuzwa laki 3 na bado demand ilikua kubwa. Leo mpaka naandika hapa gunia linauzwa 30k-40k na bado wateja hakuna. Mtakuja kusema mambo ya Demand na Supply.
Yaani we acha tu,. Mahindi saizi wanasema bei ya serikali ni Tsh 700,. Lakini hata haijulikani hiyo ni bei ya wapi na ni soko gani,. Maana kote wanataka kununua kwa Tsh 370–450 @kg,. What the hell
 
Hii nchi haijawahi kuwa na sera nzuri ya kumlinda na kumnufaisha mkulima.
Ref: Kilimo kwanza, Pembejeo nk
Inaogopesha sana mkuu,. Bei za pembejeo na bei ya zao haziwiani hata kidogo hadi mtu unajiuliza inamaana hii nchi wakulima ndio hatuna thamani kiasi hiko,. Kama serikali imeshindwa kununua kwa bei itakayomnufaisha mkulima ni heri wakafungua tu mipaka kama miaka iliyopita watu tukauze kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…