Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini.
Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu.
Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu.
Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na hutuwezi kulea huu upumbavu.
AMANI pekee itakayolindwa ni ya Nchi yetu ili kila mtu haifurahie bila kujali dini yake, kabila lake, kipato chake elimu yake au kitu chochote.
Hatuko tayari kwa ajili ya huu upumbavu wenu, hamjawahi kuwa upande wetu na kamwe hatuwezi kuwa upande mmoja.