utekaji na ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Leo nimefikiria tu nikahisi, huenda tunamlaumu bure tu Samia

    Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda amani ya mafisadi, watekaji, wauaji na watu wasio malengo mazuri na nchi yetu, Tutalinda amani ya nchi pekee

    Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini. Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu. Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu. Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na...
Back
Top Bottom