Leo nimefikiria tu nikahisi, huenda tunamlaumu bure tu Samia

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
502
Reaction score
1,141
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia

Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao

Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui

Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao

Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu

Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu
 
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia

Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao 🤷

Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui

Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao

Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu 😥😥

Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu 🥲
Samia anakula anafuja, yeye na mwanae Abdul. Hapo ndipo yanaingia makundi mengine, kundi la wanamtandao ndilo kundi linalokula zaidi pamoja na kwamba kuna vikundi vingine vikiongozwa na wale walio kwenye channels za ulaji kama Mwigulu and the likes.
 
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia

Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao 🤷

Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui

Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao

Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu 😥😥

Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu 🥲
Mkuu unataka nani alaumiwe Sasa Wakati unajua fika yeye ndo mkuu wa Dola?
Vipi Taarifa za kifo za Aly kibao si alisema kifo ni kifo tu?

Wewe unamsongo wa mawazo Samia hakwepi lawana ya aina yoyote Ile hata kama nikijikwa nikavunjika mguu nilienda hospital nikakoswa dawa Lawama zinaenda Moja Kwa Moja kwake!
 
Hivi nyie wakina Luca mnashida gani? Mbona mnapenda kumtetea sana sa100, yule mwenzako Luka mashamba ndo kabisa huwa hatumuelewi.
Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tu
Ila leo nikawaza huenda Samia anapelekeshwa, sio kwamba napenda kumtetea. La hasha
Mimi sio kama Lucas Mwashambwa
 
Mkuu unataka nani alaumiwe Sasa Wakati unajua fika yeye ndo mkuu wa Dola?
Vipi Taarifa za kifo za Aly kibao si alisema kifo ni kifo tu?

Wewe unamsongo wa mawazo Samia hakwepi lawana ya aina yoyote Ile hata kama nikijikwa nikavunjika mguu nilienda hospital nikakoswa dawa Lawama zinaenda Moja Kwa Moja kwake!
Ila ni kweli, maana nchi yetu kila kitu tunategemea Rais so lawama zote zinaenda kwake. Viongozi wengine wamelala tu
 
Hawezi kukwepa lawama hata iweje. Na historia itamhukumu accordingly wakati ule yeye na akina Abdul na Rizimoko + mtandao wote walishakufa na mahekalu waliyojijengea yameshakuwa magofu kama ikulu za akina Mobutu kule Gbadolite.
 
Ikiwa kuna wazalendo ambao wanawapinga na watekwa na wanauwawa, Iweje wewe ushindwe tu kujiuzulu ili utoke kwenye hizo lawama? Mean wewe sio mzalendo na kama sio mzalendo iweje uwe rais sasa?
 
Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tu
Ila leo nikawaza huenda Samia anapelekeshwa, sio kwamba napenda kumtetea. La hasha
Mimi sio kama Lucas Mwashambwa
Chuki zako binafsi na ujinga wako wala haumpungumzii chochote kile Rais wetu Mpendwa. Maana anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom