Leo nimefikiria tu nikahisi, huenda tunamlaumu bure tu Samia

Leo nimefikiria tu nikahisi, huenda tunamlaumu bure tu Samia

Chuki zako binafsi na ujinga wako wala haumpungumzii chochote kile Rais wetu Mpendwa. Maana anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.
Hivi Samia akitoka madarakani 2030 utafanya nini? Utakuwa chawa wa Rais anayefuata?
 
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia

Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao 🤷

Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui

Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao

Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu 😥😥

Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu 🥲
Nooo samia ni mhusika 💯
 
Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tu
Ila leo nikawaza huenda Samia anapelekeshwa, sio kwamba napenda kumtetea. La hasha
Mimi sio kama Lucas Mwashambwa
Kama ni hivyo ni vizuri sana, ukweli sidhani kama kunamwingine aliyepo nyuma ya Sa100 zaidi ya Kikwete.
 
Kinachomponza huyu Mama ni upole ndo maana taasisi ya u Rais inachezewa imefika hatua Padre kitime kanywa pombe zimemzidia akaangukia kichwa chooni alafu anasema Rais kamtuma mtu amtandike rungu
 
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia

Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao

Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui

Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao

Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu

Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu
Wewe ni faler sana
 
Kinachomponza huyu Mama ni upole ndo maana taasisi ya u Rais inachezewa imefika hatua Padre kitime kanywa pombe zimemzidia akaangukia kichwa chooni alafu anasema Rais kamtuma mtu amtandike rungu
Sijajua kumbe “anko t” upo JF?
 
Back
Top Bottom