Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani


View: https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx

Naunga mkono hoja, na ndio maana nina msupport TAL, japo ni mropokaji, ndie baniani mbaya, kiatu chake ndio dawa pekee ya kuitibu Chadema Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
P
 
Katika jambo ambalo ccm imefanikiwa kuiburuza chadema ni 4R, namsifu Samia, kawaingiza mkenge, kazoa viti serikali za mtaa kapita hivi😂
..Raisi si alisema 4R ni za Watanzania?

..mkumbuke Chadema ni Watanzania.

..kwa hiyo kama kuburuzwa ni Watanzania tulioburuzwa.
 
Naunga mkono hoja, na ndio maana nina msupport TAL, japo ni mropokaji, ndie baniani mbaya, kiatu chake ndio dawa pekee ya kuitibu Chadema
P
Mkuu unajua we ni mkubwa apa jf , hivi TAL amesema kipi ambacho ni kibaya mpaka useme ni mropokakaji , kama TAL akitoa fact na nyie kusema anaropoka , je Facts alizo kua akitoa Mchungaji Mtikila enzi zake kwa sasa mgesemaje.

TAL ardhi ya Tanganyika imemkubali kila anachogusa anapaa , mtu wa hivi hata mgekuja na jina baya vipi ndivyo mnavyompaisha
 
Du ,kweli TL kawashika ,ndio mara yq kwanza naona mfurukutwa n mkereketwa wa CCM yupo na Lissu✌️
Mkuu Makulu, MAKULUGA , mimi sio CCM mkereketwa na mfurukutwa, mimi ni wale CCM by default, tulioingia CCM kwa mujibu, enzi za chama kimoja, na kujikuta tunaendelea CCM kwasababu ndicho chama pekee, chama kwa maana ya chama!. Tanzania tuna chama cha siasa kimoja tuu, the one and only!.
P
 
wako wapi radical politicians Africa mathalani?

au uropokaji, tamaa na usaliti within collective responsibilities circle ndio u radical?🐒
Unateseka sana dogo, relax! Lisu yupo atakupambania hata wewe uheshimike kwenye taifa lako akishirikiana na wazalendo wa kweli tutakaomuunga mkono kwa dhati kabisa.
 
Mkuu Makulu, MAKULUGA , mimi sio CCM mkereketwa na mfurukutwa, mimi ni wale CCM by default, tulioingia CCM kwa mujibu, enzi za chama kimoja, na kujikuta tunaendelea CCM kwasababu ndicho chama pekee, chama kwa maana ya chama!. Tanzania tuna chama cha siasa kimoja tuu, the one and only!.
P
Haya maelezo yako ni kiukereketwa!
 
Mimi ninacho furahi ni kwamba watu wameanza kuamka, angalau kuna vitu wameanza kuviona haviendi sawa wanavipinga japo ni mitandaoni. Mdogo mdogo tu hata vita za dunia zilianza na maneno maneno mpaka kufikia hatua ya kuanza kuchapana. CCM ataondoka tu siku zinakuja hii nchi ni yetu sote sio mali ya kikundi.
 
Back
Top Bottom