Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hatuwezi kushiriki uchaguzi ni kama samia ameweka mpira kwapani alafu anatuambia tucheze hewa mwisho anasema yeye ndio mshindi.
katika mazingira kama haya hatuwezi kukubali maigizo weka mpira chini tucheze wote.
katika mazingira kama haya hatuwezi kukubali maigizo weka mpira chini tucheze wote.