Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gen-KTunakuelekea Gen-Z watachukua nafasi.
Gen AHivi kizazi kinachokula mishahara ni Gen ngapi?
kwahiyo ambae haongezi mshahara kwa watumikishwaji sahizi ni Magufuli?Magufuli ndio aliasisi dhuluma kwa wafanyakazi na sasa linaonekana ni jambo la kawaida.
Wengine wamedanganywa mapunjo ya kikokotoo hii nchi ni shida juu ya shida ngoja leo nikahuishe silaha yangu ya kupigia kuraMtadai, serikali haijawahi kudhulumu
lianzishe tupo pamoja1. Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kupata Increment kila ifikapo tarehe 1, ya mwezi July kila mwaka. Kwa nini hawajapata hiyo Increment wakati Budget ilipangwa na kupitishwa Bungeni? Hizo fedha za Increment za mwezi huu amechukua nani na kwa misingi gani?
Tunataka majibu ya haraka na yenye ukweli vinginevyo tunaipeleka serikali mahakamani kwa kuvunja masharti ya mkataba.
2. Upandishaji madaraja mwaka huu ni tofauti kabisa na miaka mingine.
Kuna watu walianza kazi mwaka 2003, hawajapandishwa daraja lakini walioanza kazi mwaka 2009 wamepandishwa madaraja, kwa hiyo walioanza kazi mwaka 2003 na walioanza kazi mwaka 2009 wapo sawa na hawa wote wana sifa zinazolingana.
Kwa hiyo, kama hawatafanya marekebisho, tunaazimia kwenda mahakamani kutafuta haki. Serikali hii ina shida gani lakini.
Mimi na wenzangu tumedhamiria kutafuta ya watumishi hawa.
Kwa sasa tunaendelea kutafuta mawakili wasomi ili kuipeleka serikali mahakamani.
Hahahaha. Gen unidentified ya mishahara ya kibongo ndiyo imeshakufa kabisa. Hai-exist.Hahahahha umewawahi mapema,
Kabla hawajaanza kuja na kelele zao za gen Z ya Tz ni mbovu sijui imelala 🤣🤣🤣
Kesi ya nyani inaenda kusikilizwa na ngedere.Mahakama ni za come,mawakili ni wa ccm,majaji ni wa ccm,wasikilizaji wa kesi ni wa ccm,katiba ni ya ccm na vyombo vya habari kuanzia clouds media group,Channel ten na nyinginezo zote zipo ndani ya cobweb ya ccm sitegemei kuwaona ninyi mkishinda.1. Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kupata Increment kila ifikapo tarehe 1, ya mwezi July kila mwaka. Kwa nini hawajapata hiyo Increment wakati Budget ilipangwa na kupitishwa Bungeni? Hizo fedha za Increment za mwezi huu amechukua nani na kwa misingi gani?