Hatuwezi kuunga mkono jambo la nyongeza ya mshahara

Sekta za umma mafanikio itabaki kuwa ndoto kila mwaka, huwezi kuumiza watumishi wako then utegemee wafanye kazi kwa moyo na bidii, kama mwajiri anavunja sheria kwa makusudi mtumishi atafanyaje kazi kwa moyo itabaki tu kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Njombe mji wote wamepandishwa madaraja,ni suala la uzembe na uharaka wa afisa utumishi wako.
 
lianzishe tupo pamoja
 
Hahahahha umewawahi mapema,
Kabla hawajaanza kuja na kelele zao za gen Z ya Tz ni mbovu sijui imelala 🤣🤣🤣
Hahahaha. Gen unidentified ya mishahara ya kibongo ndiyo imeshakufa kabisa. Hai-exist.
 
Kesi ya nyani inaenda kusikilizwa na ngedere.Mahakama ni za come,mawakili ni wa ccm,majaji ni wa ccm,wasikilizaji wa kesi ni wa ccm,katiba ni ya ccm na vyombo vya habari kuanzia clouds media group,Channel ten na nyinginezo zote zipo ndani ya cobweb ya ccm sitegemei kuwaona ninyi mkishinda.
NB:Mahakama za Tanzania zinafanya kazi kwa maelekezo kutoka juu na siyo kutoka kwenye katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…