LGE2024 Hatuwezi kuwa na electronic registration kwa wapiga kura?

LGE2024 Hatuwezi kuwa na electronic registration kwa wapiga kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Mtu mzima kwenda kupiga foleni kujiqndikisha wakati unatakiwa utafute hela hii nayo ni shida.ukimwengu wa kidigitali jamani.

Tehama watengeneze namna mtu anaweza kujiqndikisha online na kuoiga kura online

Kwanza wasomi ndiyo tuna uwezo wa kuchagua kiongozi.sasa wa darasa la Saba au chini ya hapo anajua maana ya kiongozi kweli?akipewa debe la mahindi anaona amepewa dili😂😂😂😂😂
 
Tuwaheshimu wazee wetu,walio pambana kulima,kutapeli,kuvua,kulala njaa ili watoto wao tusome japo wao hawajasoma
 
Inawezekana. Mbona South Afrika wameweza? Hapa kinavhotusumbua ni kichokwa kwa ccm. CCM wanaona wakiboresha michakato ya chaguzi wataondoka mazima.
 
Back
Top Bottom