Ingekuwa vema hizi story zenu msimuliane mahome kwenu huko.Mpaka yajae ndoo ndo nitaamini😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa vema hizi story zenu msimuliane mahome kwenu huko.Mpaka yajae ndoo ndo nitaamini😅😅😅
Hamna unakuta couple imekaa mfano zaidi ya mwaka, hapo kijana anaghramikia kweli kweliUsiweke malengo ya kumuoa mwanamke kirahisi rahisi tu. Tambua mkeo ndio atakua mshauri wako na mama wa watoto wako kwaiyo kabla ya kuweka ilo lengo akikisha umemfanyia vetting ya kutosha, sex sio determinant pekee ya kuchagua mke.
Tulia man hutaki mwanaume mwenzio nipate kitobo au wivu unakusumbua?Ingekuwa vema hizi story zenu msimuliane mahome kwenu huko.
Mwanamke ambae yupo after money utamjua tu na ukishagundua ilo we m-treat kama kahaba tu, hata ivyo kuna maeneo ambayo sio sehemu sahihi kupata mwanamke wa maana mfano bar uokote slay queen au barmaid kitambaa cheupe uko halafu ulalamike yupo after money utakua mjinga, vile vile hata hawa wa mtaani epuka ku-date na mwanamke anaetoka familia masikini mwanamke fukara hana mapenzi ya dhati anaingia kwenye mahusiano au ndoa ku-satisfy njaa zake.Hamna unakuta couple imekaa mfano zaidi ya mwaka, hapo kijana anaghramikia kweli kweli
🙄🙄Hilo zigo chafu silitaki. Nakutaka WEWE mali safi mrembo 😍😍
Haya bana ngoja nsigubanieTulia man hutaki mwanaume mwenzio nipate kitobo au wivu unakusumbua?
Tupia link kule jukwaa la ajira wadau wafanye application.Wametangaza ajira
Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu.
Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa hata usisumbue akili wala nafsi yako, na akinuna akatishia kuondoka mfungulie mlango aende.
You don't owe your girlfriend a lifestyle her father cannot give her. Don't allow any woman to put you under pressure in this life, most of them are absolutely liability in your life.
The key is to put your plans first and chase money, striving to satisfy a woman will not add anything significant in your life.
Prioritze yourselves my brothers, these hoes aint loyal.
Huo ndio uwanaume pamoja man. Hii mutoto nataka niipelekee motoHaya bana ngoja nsigubanie
WEWE unachezea bahati
Bahati ya nyooo....WEWE unachezea bahati
Njoo basi nikuzibe kitobo iko 😋Bahati ya nyooo....
In this deceive statement of "responsible boyfriend/husband" wanaume wengi wanafanya kosa la kutumia muda wote wa maisha yao kuhudumia mwanamke na kujisahau wao wenyewe.Well said Comrade.
Jambo ni Lile Lile siku zote.....
Thamani inaanza kwako kabla ya kutoa kwa wengine.
Kuna wakati tunaumizwa ni kwasababu tuliwapenda na kuwathamini wengine kabla ya kuzithamini na kujipenda wenyewe kwanza.
Kitabu kitakatifu kinasema.
Yakobo 2:8 "Wapende wengine kama unavyoipenda Nafsi Yako". All start with you first
#Jitendee Mema kabla ya kutendewa wengine.
Ana-uputini mwingi sana Kwa hii sektaMpeni pepsi putin
🤣🤣🤣🤣Unatuonea wivu sana wewe