Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Usiweke malengo ya kumuoa mwanamke kirahisi rahisi tu. Tambua mkeo ndio atakua mshauri wako na mama wa watoto wako kwaiyo kabla ya kuweka ilo lengo akikisha umemfanyia vetting ya kutosha, sex sio determinant pekee ya kuchagua mke.
Hamna unakuta couple imekaa mfano zaidi ya mwaka, hapo kijana anaghramikia kweli kweli
 
Hamna unakuta couple imekaa mfano zaidi ya mwaka, hapo kijana anaghramikia kweli kweli
Mwanamke ambae yupo after money utamjua tu na ukishagundua ilo we m-treat kama kahaba tu, hata ivyo kuna maeneo ambayo sio sehemu sahihi kupata mwanamke wa maana mfano bar uokote slay queen au barmaid kitambaa cheupe uko halafu ulalamike yupo after money utakua mjinga, vile vile hata hawa wa mtaani epuka ku-date na mwanamke anaetoka familia masikini mwanamke fukara hana mapenzi ya dhati anaingia kwenye mahusiano au ndoa ku-satisfy njaa zake.
 

Well said Comrade.
Jambo ni Lile Lile siku zote.....
Thamani inaanza kwako kabla ya kutoa kwa wengine.
Kuna wakati tunaumizwa ni kwasababu tuliwapenda na kuwathamini wengine kabla ya kuzithamini na kujipenda wenyewe kwanza.

Kitabu kitakatifu kinasema.
Yakobo 2:8 "Wapende wengine kama unavyoipenda Nafsi Yako". All start with you first
#Jitendee Mema kabla ya kutendewa wengine.
 
In this deceive statement of "responsible boyfriend/husband" wanaume wengi wanafanya kosa la kutumia muda wote wa maisha yao kuhudumia mwanamke na kujisahau wao wenyewe.

Mwanaume jipe kipaumbele wewe mwenyewe, hata watoto wako unaopambana usiku na mchana kuwahudumia watakapokua wakubwa usishangae waka-prefer kumsaidia mama yao

kama mwanaume elewa kwamba no one will love you because your are human being, you will be loved depending on your success and how someone benefits from you, kwaiyo mwanaume usisahau kujiwekea security kwa ajiri ya nyakati zako za uzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…