biz_mtaa
Member
- Aug 13, 2025
- 12
- 17
🙆♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya catering si rahisi kama unavyodhani, hasa ikiwa huna uzoefu wa kupika kwa wingi. Lakini hii haimaanishi kwamba haiwezekani!
🙇♂️ Changamoto za kwanza:
- Kupika kwa mtu mmoja ni tofauti kabisa na kupika kwa watu 50, 100 au zaidi
- Unahitaji ujuzi wa kupanga wakati na rasilimali
- Utahitaji vifaa maalum na nafasi kubwa ya kupikia
- Sheria za afya na usalama ni kali zaidi
- Unahitaji ujuzi wa biashara, si kupika tu
😊 Lakini hapa ndipo maajabu yanapoingia:
Wengi wa wafanikiwa katika sekta hii walianza bila uzoefu mkuu! Siri yao ilikuwa maarifa sahihi na mipango madhubuti.
Kwa mfano, Tulimuomba Careen luvanda mkazi wa tabata anayefanya shughuli hizi atueleze jinsi alivyoanza biashara hii alisema yeye alianza biashara yake ya catering akiwa na uzoefu wa kupikia familia tu. Leo, anafanya mikataba ya sherehe kubwa za harusi na makampuni. Siri yake? Alijifunza hatua kwa hatua, akafuata mwongozo sahihi.
🙋♂️ Mambo muhimu unayohitaji kujua:
- Jinsi ya kukadiria mahitaji ya chakula kwa kila mtu
- Vifaa vya msingi unavyohitaji
- Jinsi ya kupanga wakati wa kupikia na utoaji
- Sheria za kufuata na leseni zinazohitajika
- Mbinu za kupata wateja wa kwanza
- Jinsi ya kupima bei zako ili ufaidike
🧏♂️ Kumbuka: Kila mkuu wa catering alishawahi kuwa mwanzilishi(alianza mwanzo wa wazo). Tofauti ni katika **maarifa na mwongozo unaoufuata.
Ikiwa unahamu kubwa la kuanza biashara hii lakini unajisikia hujui ni wapi uanze, huna wasiwasi. Tumekuandalia Mwongozo Kamili wa Biashara ya Catering Service unaokuwa na kila kitu unachohitaji kutoka hatua za kwanza mpaka kuwa mkuu katika uwanda huu.
📔 Ebook yetu utaipata na ina mifano halisi, orodha za vifaa, mipango ya biashara, na hata mbinu za kutumia kupata wateja wa kwanza. Ni mwongozo wa hatua kwa hatua ulioundwa kitaalam katika sekta hii.
💁♂️ Anza Leo - kwa sababu kesho ni mbali mno kupiga ngumi! Usiache kutufatilia kwenye mitandao Bizmtaa kwaajili ya mafunzo ya live kuhusu biashara mbalimbali za huduma.