Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

Unapenda madem wakali we mtu mfano hakuna
😃😃utakufa jamani🤓
 
Naongezea,

1.Kunywa glas moja maji baridi pale unapoanza tendo, I mean ule mda ambao uko sexually aroused

2. Ukiona umeshindwa sana kujizuia kumwaga basi wamwage nje, hii itakusaidia uweze kurudia tendo ndani ya dakika 3 au mbili
 
Niende mara ngapi na maji kama ngoma tayari ninayo sasa kuna lipi lingine la kuogopa ukiondoa kisukari?
Tafadhali niambie unamaanisha mzabzab …nimekuwa nikiona huu mwandiko sehemu kadhaa ukiandika lakini sikuwahi kuutilia maanani.

Hatujawahi kuwasiliana pm lakini kama ni kwwli naomba kama hutojali nikutafute pm kaka..🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…