Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

Pombe tumia Kwa kiasi,
Angalau Kwa wiki mara moja na usizidishe mpaka mwili uka-knockout
Hapo kwenye kutumia sawa ila mara moja kwa wiki huo ni uongo Boss maana mwenyewe bila k vant ndogo usingizi hauji kabisa[emoji3]
 
😂😂
Hiyo ni Kwa wale wenye matatizo ya kukojoa haraka.
Ni ishu ya tiba Mkuu
Wakati unatoa hilo somo kwa hao watu wanaowahi kumwaga, usisahau pia kuna wale wenzangu na mimi ambao hata jogoo kuwika tu, hawiki!

Hivyo wanaposoma mada kama hizi, huwa wanajisikia vibaya sana. Maana wanajiona kama wamenyimwa kitu muhimu sana katika maisha. Au rafiki yangu cocastic nasema uongo?
 
Hawa kesi Yao ni ngumu kidogo. Wawaone wataalamu wa afya
 
Yes
IMG_5623.jpg
 
Huyu hata asilaumiwe!
Kuna wanawake wana kusudi hadi mbinu zote zinajam.
Ila ngoja nitie mbinu ya juu kabsa kama kufunga vita kwa nuklia.
Kwavile kukojoa ni zao la utulivu wa ubongo zaidi, piga show unakula jojo na ukiona unazidiwa zinataka kufyatua lock piga korodan kwa vidole viwili km anayetoa sigara kwenye pakiti.
Amin nawaambien utaanza upya.
Ukizidisha kipimo cha kupiga pumbu zoez linaishia hapo.
Hata hivyo ni hatari sana kusex kwa KUPANIA au KUHISI NI BAHATI.
Siri nyingine ni KUNGONOKA KWA FITNA!(putting your partner at unrest mood.)
Nasisitiza, ni hatari sana kuleta ustaarab kwenye sex. Iwe mke/mme, au utawa au mila au iman au social status. Sex is a rough game!
Tne dirtier the sweeter!
Nachukua nots
 
Naongezea,

1.Kunywa glas moja maji baridi pale unapoanza tendo, I mean ule mda ambao uko sexually aroused

2. Ukiona umeshindwa sana kujizuia kumwaga basi wamwage nje, hii itakusaidia uweze kurudia tendo ndani ya dakika 3 au mbili
kwanini Maji baridi mkuu?
 
Huyu hata asilaumiwe!
Kuna wanawake wana kusudi hadi mbinu zote zinajam.
Ila ngoja nitie mbinu ya juu kabsa kama kufunga vita kwa nuklia.
Kwavile kukojoa ni zao la utulivu wa ubongo zaidi, piga show unakula jojo na ukiona unazidiwa zinataka kufyatua lock piga korodan kwa vidole viwili km anayetoa sigara kwenye pakiti.
Amin nawaambien utaanza upya.
Ukizidisha kipimo cha kupiga pumbu zoez linaishia hapo.
Hata hivyo ni hatari sana kusex kwa KUPANIA au KUHISI NI BAHATI.
Siri nyingine ni KUNGONOKA KWA FITNA!(putting your partner at unrest mood.)
Nasisitiza, ni hatari sana kuleta ustaarab kwenye sex. Iwe mke/mme, au utawa au mila au iman au social status. Sex is a rough game!
Tne dirtier the sweeter!
jojo ndo nini mkuu
 
Back
Top Bottom