Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

Kongo ndio kila kitu
 
Goli la pili huwa naona bora mechi iahairishwe tu maana Kuna saa zima hapo na bebi anakuwa kachoka sana na anakuwa na ushindi mkubwa sana.
 
Umeanza lini kuwafundisha wenzio wachelewe kumwaga badala uwafundishe kuwaridhisha wenzi wao?

Wakishaweza ku- Master Jambo hilo, kuridhisha Mwanamke kunako 6*6 Ni rahisi Sana.
Wanawake wengi wanalalamika kuwa Vijana wanapiga Chini ya dakika 3.
 
Mlete na Nyuzi za kuwafundisha wanawake.

Sikuhizi Magogo yameongezeka mjini.
 
Bwana Robert unataka mtu wa chini ya dakika moja asubiri uume upoe ndo achomeke...??? Bro unamasikhara saana sijui unataka amwage nje aibike???
 
Hayo Mambo ni kwa ajili ya Mtu asiye na Kazi zakufanya ndo anaweza kupoteza muda kufanya yote hayo
 
Kuwahi kumwaga ni tatizo la kiroho hasa pale unapokuwa umeingia kwenye ndoa umekutana na wanawake wengi kabla wanakuwa wanakuachia roho za Kila aina ikiwemo jini mahaba.

Jini mahaba hawa wanakupenda na wanaona wivu unapofanya tendo na watu wengine tofauti na wao kwahiyo Ili wakuharibie mkose wote anakufanya uwahi kumwaga Ili mwanamke akuchukie kuwa humfikishi achepuke uamue kumwacha hapo wanafurahi wanakuwa wamefaulu kukutenganisha na mke wako waendelee kukufaidi wao.

Watakufaidi kupitia ndoto Kila siku utakuwa unaota unafanya mapenzi na wao.
 
Hii ya kumbeba mwanamke kama kiroba cha embe hii ni nzuri, huwa naitumia sana, oeni vipotable muinjoi hii staili 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…