Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Wewe kama mfanya biashara mara kadhaa unaweza kuchelewa au kusahau ku file taxes zako kutokana na sababu kadha wa kadha.
Lakini vipi kama nikikwambia Kuna tarehe 3 tuu ambazo ukizishika hauta Chelewa tena ku file taxes?
Yes ni tarehe 7, 20 na 28
Ngoja nikuvunjie hapa chini ili ujue ni tarehe gani unatakiwa ku file taxes gani.
1. Tarehe 7 ya kila mwezi
Hii siku unatakiwa ku file taxes aina mbili;
1.1 Employment Tax returns ambazo ni PAYEE na SDL
1.2 Withholding returns
2. Tarehe 20 ya kila mwezi
Hii tarehe ni maalum kwa ajili ya ku file tax aina moja tuu
VALUE ADDED TAX (VAT)
3. Tarehe 28 ya kila mwezi
Hii siku unatakiwa ku file taxes aina tatu
3.1 National Social Security Fund (NSSF)
3.2 Workers compensation fund (WFC)
3.3 Excise Duty
Umeona ilivyo rahisi ?
Formula ni moja tuu
7×20×28
HEY, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara, Kampuni, na leseni.
Kama unahitaji mtu wa kukukumbusha ku file taxes zako kila mwezi unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.