saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
We bwege Zitto aba uwezo mkubwa kuliko huyo Makengeza wenu. ACT-Wazalendo ni sehemu ya serikali ya SMZ. Mbowe alisafiria nyota za watu. Kwani hiyo CHADOMO ina nini sahvi baada ya vichwa kuondoka? Vichwa vilikuwa kina Dr. Slaa.Humu jf kwasasa kumejaa mandondocha sn aisee, yan huyo zitto alikuwa na nn hasa kikubwa cha kuifksha chadema hapo? Sasa kama alikuwa na uwezo mkubwa hvyo huo uwezo mbona kashndwa uonyesha huko aliko? BILA MBOWE TUSNGEWAONA AKNA ZITO, MDEE, SUGU, LEMA, HECHE, MNYIKA nk na wengneo walionunuliwa na maccm.
We unaumwa nenda katibiwesina muda mchafu wa kubshana na machawa mimi, umeme hakuna, maji hakuna, elimu ya hovyo, ajira hakuna, katiba ya hovyo, viwanda alivyoacha mwl nyerere vyote vlimalizwa na majitu yaliyoko ccm, mashirika ya umma yote hovyo halafu nibshane na jitu linalosfia ccm na maviongoz yake.
We ndio una akiliUngemtoa Dr Slaa!!. Cdm haijawahi na hatukuja kuwa Kama ilivyokuwa chini ya katibu mkuu Slaa!.
Huna unalojuaMtu aliyeleta mageuzi CHADEMA ni Freeman Mbowe, wengine walikuwa wapita njia. Kuanzia Kaborou, Dr Slaa, Zitto, Kitila, Arfi, Mdee, et
Ahahahahaha! Ndondocha naona umehamisha magoli! Ahahahahaha!!!sina muda mchafu wa kubshana na machawa mimi, umeme hakuna, maji hakuna, elimu ya hovyo, ajira hakuna, katiba ya hovyo, viwanda alivyoacha mwl nyerere vyote vlimalizwa na majitu yaliyoko ccm, mashirika ya umma yote hovyo halafu nibshane na jitu linalosfia ccm na maviongoz yake.
Mpumbavu ni mama yako anayeliwa vichakaniWewe ni mpumbavu!!, Zitto huyu aliyeokotwa chuoni ndio unamsemea?.
Kama unavyochokonolewa nyuma!.Mpumbavu ni mama yako anayeliwa vichakani
Sisi tumesha kusamehe bure ndugu Mkunga,Ngariba sasa utuambie ngapi hukooo🤓Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee
Zitto ndiye amechangia CHADEMA kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa
Wale haters samahanini sana.
Zitto Kabwe alitumiwa sana na TISS kuihujumu Chadema, uzuri ni kuwa nayo Chadema ilikuwa na intelejensia ya hali ya juu sana kipindi kile hivyo yale madhara yaliyokusudiwa hayakutokea na ndiyo maana Zitto alifukuzwa Chadema na wenzake Mwigamba na Kitila Mkumbo. Zitto Kabwe asingekubali kutumiwa kuihujumu Chadema ndiye alikuwa anaandaliwa kumrithi Mbowe na TISS walilijua hili hivyo wakamuwahi mapema kumuingiza kwenye mfumo ili akija kushika uenyekiti kazi ya kuibomoa Chadema iwe nyepesi. Laana ya usaliti inamla tartiiib ndiyo maana sasa anaonekana kama kikongwe. Malipo ni hapa hapa duniani.Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee
Zitto ndiye amechangia CHADEMA kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa
Wale haters samahanini sana.
Upo sahihi mkuuKuna haja watu wajue historia ya vyama vya upinzani, uanzishwaji, ukuaji na watu waliohusika kuifikisha ilipo kwa usahihi bila mihemuko!
Labda ulimcheki kwa kutumia matako,wote wenye akili walikubaliana na hoja yake ndiyo maana alipigiwa makofi japo ni msibani,kifupi aliwavua nguo CCM ndiyo maana Rais aliposimama alijaribu kufanya damage control kidogo.nilimcheki mbowe kiukweli alikosa ukomavu wa kisiasa siku ya maziko wallah