The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Hali ya upatikanaji wa umeme Nchini CUBA imezorota baada ya shirika la Umeme la Taifa yaani Tanesco ya Cuba kusema halina umeme wa kuweza kuwafikishia Wananchi ambapo umeme unaohitajika ni megawatt 3000 na uliopp ni megawatt 500 tuu.
---
SHIRIKA la umeme nchini CUBA limesema linauwezo mdogo wa kusambaza umeme megawati 533 tu kati ya megawati zaidi ya 3,000 zinazohitajika.
Mapema serikali ya nchini humo imesema kipaumbele kwa sasa ni kupeleka umeme mahospitalini na vituo vya kusambaza maji na mashuleni na huduma zisizo za lazima za serikali zimefungwa hadi hapo baadaye.
Mji mkuu wa Havana unaendelea kusalia kwenye giza ingawa Shirika hilo la umeme kudai imetoa huduma hiyo kwa zaidi ya wateja 260,000 waliohitaji huduma ya umeme.
Utoaji wa huduma ya umeme nchini Cuba unadaiwa kushindwa kutokana na uhaba wa mafuta, majanga na mizozo ya kiuchumi.
Chanzo: Dw
My Take
Vinchi vya Kijinga kama hivi Huwa Vinaaekeza kwenye propaganda na Jeshi badala ya kuwekeza kwenye mambo ya msingi ya Nchi.
Tanzania tusije fikia level hizo za Nchi Maskini kama Cuba na ni aibu eti wanatupa na misaada.