Raisi ni magufuli na Nyerere, Hawa wengine mmmhBila magufuli kutawala. Tanzania tulikuwa tunaelekea huku.
Madalali wa gesi walishavamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi ni magufuli na Nyerere, Hawa wengine mmmhBila magufuli kutawala. Tanzania tulikuwa tunaelekea huku.
Madalali wa gesi walishavamia
Hao wote uliowataja kwangu Mimi ni zero brain.Raisi ni magufuli na Nyerere, Hawa wengine mmmh
We jamaa nilitaka nisikujibu lkn ngoja nikujibu sasa hapo umeongea nini kama siyo takataka tupu upuuzi puuzi tu watu wanasema kama Cuba Ali amini ujamaa ni njia bora ya kumletea maendeleo kwanini yuko hivyo na watuwake Wanaendelea kuteseka kama huo mlango wa lijamaa una nguvu kwanini husuepushe na Vikwazo? Na je kuegemea mlengo wa lijamaa yalikuwa matakwa ya wananchi wote au ni mtu mmoja kwa maslai yake?Yawezekana aslimia zaidi ya 90 waliokomenti kwenye huu uzi ni watoto wa elfu mbili, lah! basi kama nchi bado sana swala la ELIMU! ni changamoto. Hii elimu ya nchi yetu bado inashindwa kuandaa raia wenye kuwa na uwezo wa kuwa na CRITICAL na ANALYTICAL minds!!!imebidi nitumie lugha ya kimombo yamkini nisiandike sana.
HIvi ni nchi gani hasa ilioendelea kwa hao mnawaita WAWEKEZAJI/MADALALI NA MATAPELI wakaendesha uchumi wa nchi na inchi ikapaa kiuchumi.
Mnashindwa kuelewa na kutambua kuwa nchi kama CUBA imewekewa VIKWAZO na ndo chanzo cha mdororo wa kiuchumi ila mmekaririshwa kuwa ujamaa ndo umewafanya hivyo, hivi huko shule mlienda kusomea UJINGA?!!!Hizi cheap PROPAGANDA muwe na uwezo wa kuzitambua na kuzipuuza.
Mnataka CUBA akubali kuolewa na U.S.A kama SOUTH KOREA au JAPAN?? hawa wenyewe wameshachoka kuburuzwa wanaanza kutoka usingizini na kutaka kujitawala wenyewe.
Kwanini vijana mnakuwa matahira kiasi hiki. Nchi ya Cuba imejipambanua kimlengo wake ila wivu wa wanajiita wanademokrasi( U.S.A) inatumia mbinu tangu enzi kuididimiza CUBA na bado wamefeli.
Hata kama una hoja, namna ulivyo wasiliana mada kwa kwa dharau. Hata ungekuwa wa miaka ya 50's hujaonyesha ukomavu wako.Yawezekana aslimia zaidi ya 90 waliokomenti kwenye huu uzi ni watoto wa elfu mbili, lah! basi kama nchi bado sana swala la ELIMU! ni changamoto. Hii elimu ya nchi yetu bado inashindwa kuandaa raia wenye kuwa na uwezo wa kuwa na CRITICAL na ANALYTICAL minds!!!imebidi nitumie lugha ya kimombo yamkini nisiandike sana.
HIvi ni nchi gani hasa ilioendelea kwa hao mnawaita WAWEKEZAJI/MADALALI NA MATAPELI wakaendesha uchumi wa nchi na inchi ikapaa kiuchumi.
Mnashindwa kuelewa na kutambua kuwa nchi kama CUBA imewekewa VIKWAZO na ndo chanzo cha mdororo wa kiuchumi ila mmekaririshwa kuwa ujamaa ndo umewafanya hivyo, hivi huko shule mlienda kusomea UJINGA?!!!Hizi cheap PROPAGANDA muwe na uwezo wa kuzitambua na kuzipuuza.
Mnataka CUBA akubali kuolewa na U.S.A kama SOUTH KOREA au JAPAN?? hawa wenyewe wameshachoka kuburuzwa wanaanza kutoka usingizini na kutaka kujitawala wenyewe.
Kwanini vijana mnakuwa matahira kiasi hiki. Nchi ya Cuba imejipambanua kimlengo wake ila wivu wa wanajiita wanademokrasi( U.S.A) inatumia mbinu tangu enzi kuididimiza CUBA na bado wamefeli.
Kwa maana hiyo unasema Cuba ambayo haijaolewa na Marekani ina nafuu kuliko S.Korea na Japana?Yawezekana aslimia zaidi ya 90 waliokomenti kwenye huu uzi ni watoto wa elfu mbili, lah! basi kama nchi bado sana swala la ELIMU! ni changamoto. Hii elimu ya nchi yetu bado inashindwa kuandaa raia wenye kuwa na uwezo wa kuwa na CRITICAL na ANALYTICAL minds!!!imebidi nitumie lugha ya kimombo yamkini nisiandike sana.