Havana: Shirika la Umeme la CUBA Limesema Halina uwezo wa Kusambaza Umeme Kulingana na Mahitaji ya Nchi.

Mie Naweza nikawa sina akili ila mtoa mada kanizidi
 
We jamaa nilitaka nisikujibu lkn ngoja nikujibu sasa hapo umeongea nini kama siyo takataka tupu upuuzi puuzi tu watu wanasema kama Cuba Ali amini ujamaa ni njia bora ya kumletea maendeleo kwanini yuko hivyo na watuwake Wanaendelea kuteseka kama huo mlango wa lijamaa una nguvu kwanini husuepushe na Vikwazo? Na je kuegemea mlengo wa lijamaa yalikuwa matakwa ya wananchi wote au ni mtu mmoja kwa maslai yake?
 
Hata kama una hoja, namna ulivyo wasiliana mada kwa kwa dharau. Hata ungekuwa wa miaka ya 50's hujaonyesha ukomavu wako.
 
Kwa maana hiyo unasema Cuba ambayo haijaolewa na Marekani ina nafuu kuliko S.Korea na Japana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…