Ndo baby wako?[emoji122] [emoji126]
Asee jamaa sijui ana kimzizi?...Wivu sina ila roho inaumaa!!!
Happy birthday Shemeji Miller
Asee jamaa sijui ana kimzizi?...
Hapana...sina shobo za kipuuziHahahaha
Kwanini?
Au na wewe ulifia kwake?
Hapana...sina shobo za kipuuzi
Unataka kumpindua nn?Ndo baby wako?[emoji122] [emoji126]
Okay!Ndio Ugonjwa wake...
Na hilo chura hapo wala hutumii nguvu[emoji23] [emoji23]Nataka kumpindua ndio...sipati picha bidada si atajinyongaa [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
miller
Nataka kumpindua ndio...sipati picha bidada si atajinyongaa [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
miller
Haaahaa...fastaa namnasa kiaina na hachomokiNa hilo chura hapo wala hutumii nguvu[emoji23] [emoji23]