Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

Nipo tayari nami nipoteze vyotee kama mzee,
Sio kwa mahaba hayaa

Hahahahahahaaa

Unaona sasa..... wimbo ushanijia kichwani....

Sijui niuweke hapaa.... naanzaje sasa kujizuia kuimba. ....

....Oooh kuliko mahaba hayaa Ooh kuliko mahaba hayaa....



Ona sasa leo siku yangu nzima ntashinda naimba mahaba mahaba mahaba mahabaaaa.....

Hivi umeniruhusu nikupoteze tuu eeh.... haya kaa mkao wa kumahabika hehehehe

Mangiii ila usije ukausa ng'ombe sa babu aiseeh.

Kasie Mahaba Matata.
 
Bongo movie bado zipo...? Nilifikiri ziliondoka na Kanumba!
 
Back
Top Bottom