Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we humuoni Kasie alivyo matata....hahaha aisee umenifanya nicheke kwanguvu hasa, hahaha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]

Unaanza eennhh...... Na hilo cheko hilo....

Utalitolea mahesabu wee hayaa.

Ila Kasie ni mpole zaidi kuliko utata eehh si ndiooo homie....
 
Unaanza eennhh...... Na hilo cheko hilo....

Utalitolea mahesabu wee hayaa.

Ila Kasie ni mpole zaidi kuliko utata eehh si ndiooo homie....

basi homie nimeacha kucheka! [emoji850]

mmh kwenye upole kuliko utata natamani kukutetea lkn naona ngumuu!!!

sema ni kweli homie wewe ni mpole ila hawajakuelewa tu, naomba nikutafute leo!
 
Kheri ya kuzaliwa mkuu, uwe na maisha marefu yenye afya salama na mafanikio ndani yake..!
 
Back
Top Bottom