Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Basi sitaki. Mi Nina wivu. Nitapigana bureMbona mi nipo mlangoni kitambo tu.
Nakusubiri.
Sema nina tamaa. Nataka wengi kama wa Mr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sitaki. Mi Nina wivu. Nitapigana bureMbona mi nipo mlangoni kitambo tu.
Nakusubiri.
Sema nina tamaa. Nataka wengi kama wa Mr.
Eeeh... Kazi kaziNa kwenye ukuwadi upo?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaahhagaaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaa...
Hakyanani mzigua namgawa bure[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Basi naumalizia ujana chap! Af nitarudi.Basi sitaki. Mi Nina wivu. Nitapigana bure
Sawa.. UtanikutaBasi naumalizia ujana chap! Af nitarudi.
Unipokee tu mama.
Naomba location nije nikuone. Kama hizi sifa unazomwagiwa huku ni za kweli besidey boi
Eeeh... Kazi kazi
Sikukimbii nataka tuu kusafisha macho.hapana sitaki, usije ukanikimbia mimi nikajisikia vibaya [emoji12][emoji12][emoji1493][emoji1493][emoji851][emoji851]
What’s good Ms. Lady?
Life treating you well?
Kaa mbali na akina Mr. Miller lakini.Sawa.. Utanikuta
Yeah, good good. Same old.
You? Kisura?
Ayya keep it that way.We are both wonderfully well. Rocking and rolling, per usual.
Nimesema mimi sikutongozi sababu kutongoza ni wasi wasi na uongo tele,mimi nakwambia ukweli ulivyo.Sasa mi si Dalali lakini unanitongozaje?
Hahaha vijana wapo na wananguvu si haba za kuwakilisha Taifa vizuri !!.sawa tu mpe [emoji3]
serengeti boys hivi hii timu bado ipo?
karibu sana, ooh kumbe kuna wakubwa wamezaliwa mwezi huu!!
Sikukimbii nataka tuu kusafisha macho.
Nijue kwa nini watu wameweka kambi hapa tangu jana. Mr Miller
thank you beingsingle
huo ugomvi mimi nauletaje sasa!!!?