Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

Hahaha acha masiala ,utafanya nikuondolee miaka 43 ,ubaki na 50 ,,alafu hii 43 nimpe bbade ,ukichanganya na miaka yake 28 ...nadhan utakua umeshajua kwanini "Serengeti Boys" nayo ni Team ya Taifa[emoji23][emoji23][emoji23].

nipo mkuu nmerudi sasa !! Naona umezaliwa mwezi mmoja nawatu wakubwa wakubwa wa Dunia !!

sawa tu mpe [emoji3]
serengeti boys hivi hii timu bado ipo?


karibu sana, ooh kumbe kuna wakubwa wamezaliwa mwezi huu!!
 
Back
Top Bottom