Bbade sio mchoyo atiSawa nasubiri na Mimi.. Hahahahaa
Tunakulaga kona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi rafiki mtu anapompenda mtu kwa sababu ya avatar yake halafu siku ya kukutana live akakuta mtu mwenyewe ana sura ambayo haina mbele wala nyuma kama hii ya kwangu huwa anafanyaje?...Anapiga moyo konde na penzi kusonga mbele??!
Ahaaaahaaaaa.....uwiiiiLinasonga mbele vipi? Inapigwa yutani moja matata. We unadhani wale wanaokuja kuanikana huku sababu inakuaga nini? Watu wameshobokea avatar kufika unakuta ni watu wawili tofauti penzi linaishia hapo hapo
Sasa unadhani wanashoboka na nini?Hivo unaanzaje kushobokea avatar[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Eeeh. Wamekuachaje lakini Wit.. PCCB wachunguze hili sualaHaaahaaa...daah unatamanii niwekwe kwenye list[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo hao hao wa mtaani. Tatizo humu ni kumuamini mtu. Halafu mtaani ni rahisi sababu unamuona MTU feelings zinakuja tu. Huku unaweza zimia avatar au michango ya MTU ukakutana nae mtaani anaongea kwa kupiga kelele hatari. Lazima iwe kaziWa humu hapana asee...kitaa ndo mambo yotee
Mzigua nawe umezidi asee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]Eeeh. Kuna watu nafahamiana nao huku. Birthday boy mmojawapo
Unajikesha chekesha akiwepo akigeuka unasunya na muda uliopotezaAhaaaahaaaaa.....uwiiii
Sipati picha chocho linavyokuwa linatafutwa
Nawee umeshtukaa eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Happy bday Mr Miller
Angalia tu usilete ugomvi humu kwa wadada 😛
Yaaaan mtu utakuwa huna akili asee...tuonane kwanza ndo nishoboke bana mambo ya avatar miyeyusho[emoji42]Sasa unadhani wanashoboka na nini?
Au ana mdomo mchafu balaa!Ndo hao hao wa mtaani. Tatizo humu ni kumuamini mtu. Halafu mtaani ni rahisi sababu unamuona MTU feelings zinakuja tu. Huku unaweza zimia avatar au michango ya MTU ukakutana nae mtaani anaongea kwa kupiga kelele hatari. Lazima iwe kazi
Sasa nini kinavutia kuonana na MTU kwanza? Kuna member huku haandikagi sijui ilikuwaje nikampa Namba yangu. Kuonana nae nikafall in love kabisa sema akanikataaYaaaan mtu utakuwa huna akili asee...tuonane kwanza ndo nishoboke bana mambo ya avatar miyeyusho[emoji42]
Hahahahaahaaa... Mimi huku kijiweni kwangu wanataka nisikeshe halafu niwe Nafanya nin? Wanataka niwe busy na ngono nife kwa ukimwi! No no no
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itakuwa ishawahi kukutokeaUnajikesha chekesha akiwepo akigeuka unasunya na muda uliopoteza
Pata picha.. Mtaani rahisi huku kuanza kupembua pumba na mchele shughuli yake sio ndogoAu ana mdomo mchafu balaa!