Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Hahahahaah
Kasieeeeee matataaaaa!!💋💋💋
Hehehehee
Cheko lako limenikumbusha wimbo mwingine, ila wacha niuweke kapuni kwa sasa hadi siku ikifika.
Mabusu hayoo.... usimchokoze Kasie tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaah
Kasieeeeee matataaaaa!!💋💋💋
Bwaaahaaahaaa...ya kweli haya? Ilikuwajee?Sasa nini kinavutia kuonana na MTU kwanza? Kuna member huku haandikagi sijui ilikuwaje nikampa Namba yangu. Kuonana nae nikafall in love kabisa sema akanikataa
Asee kweli bora tushinde humu aseeHahahahaahaaa... Mimi huku kijiweni kwangu wanataka nisikeshe halafu niwe Nafanya nin? Wanataka niwe busy na ngono nife kwa ukimwi! No no no
Sanaa...huku kuna changamoto sanaPata picha.. Mtaani rahisi huku kuanza kupembua pumba na mchele shughuli yake sio ndogo
Umeona eeehAsee kweli bora tushinde humu asee
Mwenye kisu kikali sio mwenye misele mingi
Ohhh gotcha[emoji106]Thank you...Same person just different pen tip/colour, (it was meant to look different)
Halafu kingine huku Sasa hawatukubali jinsi tulivyo. Sawa sina sura sina shape ukiniona nipende hivyo hivyo wenzetu wanataka wanawake wazuri tuu. Wakati hata sisi wabaya huku mtaani mitongozo Kama yoteeeSanaa...huku kuna changamoto sana
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Yaaaan mtu utakuwa huna akili asee...tuonane kwanza ndo nishoboke bana mambo ya avatar miyeyusho[emoji42]
Nipe kwanza storee ya kukataliwa na huyo member uliyefall..Halafu kingine huku Sasa hawatukubali jinsi tulivyo. Sawa sina sura sina shape ukiniona nipende hivyo hivyo wenzetu wanataka wanawake wazuri tuu. Wakati hata sisi wabaya huku mtaani mitongozo Kama yoteee
Mwenye kisu kikali sio mwenye misele mingi
Ya kweli shahidi yangu Shunie. Sijui tu kwanini yani wakati mwenzie limoyo ndo lishamdondokea. Labda sikufikia viwango vyake si unajua mambo ya levels.. Halafu mbona hukunipm tena lakin?
Teh au Daby ndie Miller Jf kichaka atiMwenye kisu kikali sio mwenye misele mingi
Aseee....maskini[emoji15] pole mpaka leo hakuelewi??Ya kweli shahidi yangu Shunie. Sijui tu kwanini yani wakati mwenzie limoyo ndo lishamdondokea. Labda sikufikia viwango vyake si unajua mambo ya levels.. Halafu mbona hukunipm tena lakin?
Sio kweli bwana natania. Sema nampenda ila Ye hajajua Kama nimekufa nimeozaNipe kwanza storee ya kukataliwa na huyo member uliyefall..
Hahahahahaaaa.....We dada acha kunisingizia huyo aliyekukataa mbona simkumbuki