Mmmmh.. SidhaniTeh au Daby ndie Miller Jf kichaka ati
Sasa si umwambie si huwa mnakutana kitaa?Sio kweli bwana natania. Sema nampenda ila Ye hajajua Kama nimekufa nimeoza Hahahahahaaaa.....
Tushaelewana. Sasa hivi tuko kwenye ulimwengu wetu.Aseee....maskini[emoji15] pole mpaka leo hakuelewi??
Nimekupm sasa sijui vepee[emoji15] [emoji15]
Na Daby unamjua??Mmmmh.. Sidhani
Si ananichukulia poa. Mi siaminikagi nikimuonyesha MTU mahaba. Naonekana tu Kama vile nimewapanga wakati mwanaJF ndo Ana kisu kikaliSasa si umwambie si huwa mnakutana kitaa?
Hapana simfahamuNa Daby unamjua??
Anakupenda au ndo unajipendekeza balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tushaelewana. Sasa hivi tuko kwenye ulimwengu wetu.
Hehehehee
Cheko lako limenikumbusha wimbo mwingine, ila wacha niuweke kapuni kwa sasa hadi siku ikifika.
Mabusu hayoo.... usimchokoze Kasie tafadhali.
Ningekunyooshea mikono leo[emoji86] [emoji86] [emoji86]Hapana simfahamu
Mimi nijipendekeze? Kabisa kabisa yani? Kujipendekeza siwezi tena. Nilishaacha kupenda huko halafu MTU linajishauaAnakupenda au ndo unajipendekeza balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rafiki huyu jamaa ni handsome kama ilivyo avatar yake?Eeeh. Kuna watu nafahamiana nao huku. Birthday boy mmojawapo
Haaaahaaaahaaa..asee[emoji15] [emoji15] [emoji15]Si ananichukulia poa. Mi siaminikagi nikimuonyesha MTU mahaba. Naonekana tu Kama vile nimewapanga wakati mwanaJF ndo Ana kisu kikali
Hahahahaaa.. Ninyooshee tu. Nawajua Kama kumi hivi humuNingekunyooshea mikono leo[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Ndio rafiki sema Ana sura ya kipole ndo shidaRafiki huyu jamaa ni handsome kama ilivyo avatar yake?
Usilogwee!...utajutaMimi nijipendekeze? Kabisa kabisa yani? Kujipendekeza siwezi tena. Nilishaacha kupenda huko halafu MTU linajishaua
Sithubutu. Tupendane ukichoka pisha niapprove wengineUsilogwee!...utajuta
Ulitaka awe gangster?Ndio rafiki sema Ana sura ya kipole ndo shida
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Sio blunt knife to hata Kijiko 😳😳😳
Eeeh.. Sema sijui kazi yake. Maana madokta wanakuaga na sura za huruma ili ukimuangalia mgonjwa asitishikeUlitaka awe gangster?