Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Naona siku iz unanenepa tuu sababu ya mahaba kama yote toka kwa broo
hahaha [emoji38][emoji38][emoji38]
akinenepa huyu unishtue Ambiele Kiviele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona siku iz unanenepa tuu sababu ya mahaba kama yote toka kwa broo
kweli ma-gap yalianza karne ya sifuriYap yap
Na visu wanapenda pesa hapo vipi? Si bora mtuchukue tu sisiNa sisi tunapenda visu,hapo vipi ?
[emoji23] [emoji23]Wit jamani
Wewe tutakutana tu kitaa,sina shaka juu ya hilo.Sio kweli. Sisi tunapenda wenye hela
Najua wanapenda pesa ndio maana tunawapenda,na mikopo si ipo bibie,sisi tunakopa tu ili tuwahudumie hamna namna,maadamu tunawependa visu.Na visu wanapenda pesa hapo vipi? Si bora mtuchukue tu sisi
Halafu mwandiko wake sina hakika Kama akisoma H kunani. Umekaa mwandiko wa Biology flani
mmmmhh nawakat juz kat nimemwona kule tandale kwa mfuga mbwa
Wa Ki Dr Dr tena zile Hospital kubwa kubwa za kimataifa
Happy Birthday Mr Miller , uishi miaka mingi ndugu yangu.
Eeeh. Kuna watu nafahamiana nao huku. Birthday boy mmojawapo
Happy bday Mr Miller
Angalia tu usilete ugomvi humu kwa wadada 😛
[emoji42]LMK bout it...!
Mwandiko wake ni upi kati ya hiyo miwili?
Happy birthday Mr Miller
Grow wise, live long.
Chagua kamjukuu kangu kamoja nikuzawadie ukanywe nako maziwa usiku kucha