Eti kweli?[emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji1324][emoji1324][emoji1324]
Rafiki mimi ndiye maficho bora kabisa kwa mapinduzi haya,nakukaribisha kwangu kwa moyo mkunjufu kabisa!Sina changu hapo rafiki... naugulia ndani kwa ndani!
Kweli mkuu. Bday yako lini??Mtu tu akikupenda anaweza kuku wish, na sio kimapenzi ila jamii forums tunaishi ivyo na siyo lazima umaarufu.
Rafiki mimi ndiye maficho bora kabisa kwa mapinduzi hayo,nakukarisha kwangu kwa moyo mkunjufu kabisa!
Na hii avatar imekutoa kimasomaso mkuu,ulicheza karata dume!heeeh!!! [emoji1][emoji1][emoji12][emoji12]
uHandsome nautoa wapi mimi chief....hapa najificha nyuma ya hii avatar!
Basi usininyooshe mikono Kama hao wachacheMmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....kumi kidogo Mzigua
Always backwash wins on destruction compared to shwash [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji226][emoji226][emoji226]Kindly refer "backwash and swash waves"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu nikubali kukubaliana naye japo pale pana miandiko miwili tofauti iliyoandikwa kwa peni mbili tofauti.Umeridhika na jibu lake? Mi nehi... labda kama mmoja katumia mkono wa kushoto na mwingine wa kulia
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Haaahaaahaa....yaan chura The Miller kakutia wivu mpaka basii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hii avatar imekutoa kimasomaso mkuu,ulicheza karata dume!
Nami naunga mkono hoja. Itabidi tukubali tu kuhama kambi ili kuunga mkono juhudi...Acha tu nikubali kukubaliana naye japo pale pana miandiko miwili tofauti iliyoandikwa kwa peni mbili tofauti.
we jamaa Mr Miller nilikwambia wakubwa mnafaidi aisee.
Natamani kuwa mkubwa na mimi risk taker.
Heri ya kuzaliwa comrade
thank you chief! Don Clericuzio [emoji1477]
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ngoja ukue