Have a Great one! Mr Miller

Una umaarufu gani humu??[emoji15] [emoji15]

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji853][emoji853]☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️[emoji53][emoji53][emoji53][emoji52][emoji52][emoji52]
 
asante sana chief! Kichwa Kichafu
lkn mimi mbona bado sijawa mkubwa....maana na mimi nataka nikiwa mkubwa niwe kama babu Asprin [emoji3][emoji3][emoji851][emoji851]

life is all about risk chief,
we are on the same lane comrade, risk taker!
Hahahaha kwa mara ya kwanza nimesikia mtu anataka kufuata nyayo zangu... hizi ni dalili njema sana kwangu.

Nashangaa kwanini hawa wachuchu wanakuwa waoga juu yangu mi mtumishi
 
Nami naunga mkono hoja. Itabidi tukubali tu kuhama kambi ili kuunga mkono juhudi...
Ila babu, pamoja na kuunga mkono juhudi hizi, mimi kuna kakitu kananikereketa japo naogopa kuuliza hapa nisije nikaharibu hali ya hewa yakanikuta hapa kama yale yaliyomkuta mweshimiwa fulani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…