Do u think me nakeshagaa?..tell me the truth?Hivi wewe kwenye ile orodha ya wanaokesha JF mbona haupo??
Do u think me nakeshagaa?..tell me the truth?
bbade una mwandiko mzuri, nimeupenda![emoji8]
Acha kuita vimeo banaa.. Me sikeshagi humuCc @amkatrina
Kuna stor nitakuja kusimulia kuhusu miandiko nitakutagbbade una mwandiko mzuri, nimeupenda![emoji8]
[emoji23] sawa mama la mamaHaaahaa...fastaa namnasa kiaina na hachomoki
bbade una mwandiko mzuri, nimeupenda![emoji8]
Pesa mama ndio kmmmHuyu jamaa mbona anashobokewa hivi?....na mimi ningekuwa mtu wa
mashoboz ningemsaka asee[emoji23] [emoji23]
jason statham 2...nakuachia huyu mtuu...ulisema anadeal na demu wako...haahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Acha kuita vimeo banaa.. Me sikeshagi humu
Haahaa..natania uwiiii...nisije kumaindiwa humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji23] sawa mama la mama
Aaah no pesa sio kila kitu banaa!...careness ndio kila kituPesa mama ndio kmmm
Mbio za vijiti..kupokezanaHaahaa..natania uwiiii...nisije kumaindiwa humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mean??Mbio za vijiti..kupokezana
Mmmh mbona me huniappreciate?....me ndo nimeleta Uzi ujue sema hapa nazuga na ID ile commonThank you very much for your kind and thoughtful birthday wishes. You contributed so much in making my special day extra special. Much love!
Hawez mind bana..si anajua haya mambo sometimes ni mbio za vijiti kupokezana lazima[emoji23]Mean??
Wivu sina ila roho inaumaa!!!
Happy birthday Shemeji Miller
Happybday kwake
Heri ya kuzaliwa rafiki! Mungu akujaalie maisha marefu yenye baraka tele.
Happy birthday broh Mr Miller
Happy birthday Mr Miller