Have a Great one! Mr Miller

Huyu jamaa mbona anashobokewa hivi?....na mimi ningekuwa mtu wa
mashoboz ningemsaka asee[emoji23] [emoji23]

jason statham 2...nakuachia huyu mtuu...ulisema anadeal na demu wako...haahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaahaaa!!! Mbona kushobokewaa
 
Dunia haitoi lift ili wapande na walio zebaki

Ila wanadamu tunakumbukana ila tuwe na furaha ya pamoja

Umoja wetu ni mhimu kuliko uwingi wetu

Kijana ukipendwa jitahidi kushikilia ulipo pendwa

Hongera kwa kukumbukwa leo

Mungu akuongezee miaka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…