witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Duuh hapo safi...ngoja nimuite mmoja anamzimikiaga jamaaHata yeye ana waume wenza....sharing is caring.
Cc. A....M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh hapo safi...ngoja nimuite mmoja anamzimikiaga jamaaHata yeye ana waume wenza....sharing is caring.
Ooh that's great...I love u guys[emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Yule mwingine vepee umemwagaa?
Yupi?....mpopo?yule....hapana!
Karibuu my[emoji8] [emoji8]So sweet of you....thank you.
Hahaaaahaaa!!! Mbona kushobokewaaHuyu jamaa mbona anashobokewa hivi?....na mimi ningekuwa mtu wa
mashoboz ningemsaka asee[emoji23] [emoji23]
jason statham 2...nakuachia huyu mtuu...ulisema anadeal na demu wako...haahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe...una nini....ngoja nami nianze kushoboka sasa!!Hapana...sina shobo za kipuuzi
Ila naona mademu wengi humu hata naowafahamu kitaa ni full kumsifia jamaa, I real don't know
Uwe na siku njema ya kuzaliwa Kaka ake Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu.
Mbona nipo Mangi. Itakuwa tunapishana bana.We mtoto mbona huonekani?????
Mbona nipo Mangi. Itakuwa tunapishana bana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaahaaa ..we mchokoziiBadde una muandiko mzurii
Haaahaaa...nimemuuliza ana kimzizi?Hahaaaahaaa!!! Mbona kushobokewaa
Hahahaaaaa. Uuwiii hamna kitu ka hicho bana Mangi.Mmmmmh
Mi nimeambiwa umepigwa marufuku kuingia humu
Nipo gadooo!Hahahaaaaa. Uuwiii hamna kitu ka hicho bana Mangi.
Mzima lakini?
Saaafi sana ni jambo jema hilo kama upo gado Mangi.Nipo gadooo!