Mi mzembe sana uzi umenipia ivi iv daaaaahh
Naona siku iz unanenepa tuu sababu ya mahaba kama yote toka kwa brooHapana hujazembea...majukumu mengi sema.
Halafu ni MTU mmoja mpole maskini. Wanaoshoboka wengi ni sababu ya avatar tuHuyu jamaa mbona anashobokewa hivi?....na mimi ningekuwa mtu wa
mashoboz ningemsaka asee[emoji23] [emoji23]
jason statham 2...nakuachia huyu mtuu...ulisema anadeal na demu wako...haahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaaa.Hapana...sina shobo za kipuuzi
Ila naona mademu wengi humu hata naowafahamu kitaa ni full kumsifia jamaa, I real don't know
Halafu mwandiko wake sina hakika Kama akisoma H kunani. Umekaa mwandiko wa Biology flanibbade una mwandiko mzuri, nimeupenda![emoji8]
Mkubalie mmoja tu basi..Nope trust me...siwezi na haitakaa itokee kumnyang'anya demu mwenzangu mwanaume humu...me mpaka nawakimbia kitaa, kama ningekubali kila mmoja duuuh[emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji15] [emoji15] ..now ningekuwa marehemu
And players too..Happy birthday man!
Month if the heroes!
Sawa nasubiri na Mimi.. HahahahaaNitamwambia akutumie location baadae. [emoji6]
mmmmhh nawakat juz kat nimemwona kule tandale kwa mfuga mbwaHapana. ..siwezi nenepa....
Hivi rafiki mtu anapompenda mtu kwa sababu ya avatar yake halafu siku ya kukutana live akakuta mtu mwenyewe ana sura ambayo haina mbele wala nyuma kama hii ya kwangu huwa anafanyaje?...Anapiga moyo konde na penzi kusonga mbele??!Halafu ni MTU mmoja mpole maskini. Wanaoshoboka wengi ni sababu ya avatar tu
Wa Ki Dr Dr tena zile Hospital kubwa kubwa za kimataifaHalafu mwandiko wake sina hakika Kama akisoma H kunani. Umekaa mwandiko wa Biology flani
Linasonga mbele vipi? Inapigwa yutani moja matata. We unadhani wale wanaokuja kuanikana huku sababu inakuaga nini? Watu wameshobokea avatar kufika unakuta ni watu wawili tofauti penzi linaishia hapo hapoHivi rafiki mtu anapompenda mtu kwa sababu ya avatar yake halafu siku ya kukutana live akakuta mtu mwenyewe ana sura ambayo haina mbele wala nyuma kama hii ya kwangu huwa anafanyaje?...Anapiga moyo konde na penzi kusonga mbele??!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Linasonga mbele vipi? Inapigwa yutani moja matata. We unadhani wale wanaokuja kuanikana huku sababu inakuaga nini? Watu wameshobokea avatar kufika unakuta ni watu wawili tofauti penzi linaishia hapo hapo