Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

Halafu ni MTU mmoja mpole maskini. Wanaoshoboka wengi ni sababu ya avatar tu
Hivi rafiki mtu anapompenda mtu kwa sababu ya avatar yake halafu siku ya kukutana live akakuta mtu mwenyewe ana sura ambayo haina mbele wala nyuma kama hii ya kwangu huwa anafanyaje?...Anapiga moyo konde na penzi kusonga mbele??!
 
Linasonga mbele vipi? Inapigwa yutani moja matata. We unadhani wale wanaokuja kuanikana huku sababu inakuaga nini? Watu wameshobokea avatar kufika unakuta ni watu wawili tofauti penzi linaishia hapo hapo
 
Back
Top Bottom