Have a Great one! Mr Miller

Have a Great one! Mr Miller

Kuna dem ulisha mkomalia akakukatalia humu?

Siri ni the way unavyopost au kufake maisha.

Asilimia kubwa ya wasichana humu ni single, sema wanahitaji mtu serious.

Ukiwa serious mkuu unampata demu yoyote alie single.
Sema mkienda huko PM mnazidisha utoto mwingi.
Mkuu nilimtokea my damned demi akanichana live kuwa havutiwi na avatar yangu!....akasema avatar yangu ni mbaya na haipendi,akaniambia labda kama nitabadili avatar hapo sawa!!
 
Mkuu umenipa mbinu nzuri sana,ngoja nitengeneze ID ya pili halafu kwenye avatar niweke hapo sura ya handsome mkali kama alivyofanya Mr Miller halafu nimtokee upya mkuu wangu!
Ila mkuu,
Mbona unahisi wa humu ni tofauti na huko unakoishi?

Tafuta huko afu umfungulie ID JF then mjimwaemwae,
Wengi couple zao humu zipo hivyo
 
Kasiee matata,
I can't wait to wish me my birthday, its soooooon

Nione tungo tata zenye kudataa!![emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Hahahahahahaaa Mangiii mie napenda mziki sana na huwa akili yangu paap inakonekti mambo na mziki haraka. Sasa hapa nimekusoma nimeukumbuka ule wimbo wa sweet Mangiii.

Wait.... kwanini Joh Makini amenipa kichwani.... mmmhhh....

Leave it aside, please give me the date and I'll give you a blast shout out here in MMU hadi use me poo hehehehhee.

Good Day Mangii.
 
Hahahahaah
Kasieeeeee matataaaaa!!💋💋💋
 
Back
Top Bottom