Have I seen my death?

Kikelelwa

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
176
Reaction score
124
Usiku wa leo Nimeota(sijui kama ni ndoto au ilikua kweli) kwamba nimeamka kitandani lakini ile natoka kitandani kiwiwili changu kilibaki pale kitandani nikajaribu kuwasha taa ikagoma kuwaka. ule mwili uliokua pale kitandani ukatoka ukaingia mvunguni nami nikarudi kulala.

wakati nimelala nilijaribu ku shout kwanguvu Jina la Yesu lakini sauti ilikua haitoki

asubu nilivyoamka ndio niliweza kuikemea hii ndoto kwa maombi
 
Ziraili mtoa roho hakuwa mbali, taa uliyokuwa unajaribu kuwasha ni uhai ulikuwa unaondoka... Ule mwili uliongia uvunguni ni ziraili alikushindwa na kurudi jehanum.. Uvunguni kulisimama kama jehanum.. Kama utakumbuka muda ni kati ya saa 8:30- 9:30 usiku muda wa kifo
Kukemea asubuhi hakukuwa na effect yoyote ni sawa na kusikia mngurumo wa radi kisha utafute pa kukimbilia
 
Kwani israel anaish jehanam,?
 
Hahaaa hv watoa roho wapo wangapi mkuu. Huyo wa jehanum huwa anatumwa na nan?
 
Yesu na Maria, ilikua around muda huo huo mshana jr Mbona nazidi kutishika
 
Man kuanzia leo usilale kaa macho!ukilala tu umekwenda kimojaa
 
Mimi nimejiwekea huwa nalala saa nne ikifika saa saba usiku naamka napiga kazi zangu hadi saa kumi narud kitandan hadi 11:30 naamka napiga zoezi kidg najiandaa nasepa, huyo ziraeli labda aniwinde mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…