Usiku wa leo Nimeota(sijui kama ni ndoto au ilikua kweli) kwamba nimeamka kitandani lakini ile natoka kitandani kiwiwili changu kilibaki pale kitandani nikajaribu kuwasha taa ikagoma kuwaka. ule mwili uliokua pale kitandani ukatoka ukaingia mvunguni nami nikarudi kulala.
wakati nimelala nilijaribu ku shout kwanguvu Jina la Yesu lakini sauti ilikua haitoki
asubu nilivyoamka ndio niliweza kuikemea hii ndoto kwa maombi
wakati nimelala nilijaribu ku shout kwanguvu Jina la Yesu lakini sauti ilikua haitoki
asubu nilivyoamka ndio niliweza kuikemea hii ndoto kwa maombi